SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KANGOMBA UNUNUZI WA KOROSHO-WAZIRI MKENDA

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Mtwara Waziri wa Kilimo Prof Adolf Mkenda ametoa onyo kali kwa wanunuzi wa korosho kwa njia isiyo halali maarufu kama ‘Kangomba’ hali inaweza kusababisha wakulima kushindwa kuendelea kulima zao hilo. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya maafisa ushirika yanayojumuisha mikoa mitano yanayofanyika mkoani mtwara amesema kuwa lazima wakemee ili